leo ni siku muhimu sana kwa Kaka Maggid Mjengwa,kwani leo ni siku yake ya Kuzaliwa.Hebu mtembelee pale kijijini kwake kwa kubofya HAPA ili kumuachia salamu za Besdei.Happy Barthday Mwenyekiti
Hongera kwa siku ya kuzaliwa kaka Maggid. Na nakutakia kila la kheri kwa kila unachofanya na unachotarejia kufanya.
ReplyDelete