HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, March 13, 2010

Flava Nite @Mzalendo Pub

Jumamosi hii Kama Jadi tunakutana tena pale Mzalendo Pub,Tunagonga Wine Mlangoni then ndani ni Full Magoma makali makali toka maDj Makini,
ukianzia na Dj Bon Love,Dj Mackay Na Dj Osca.
yaani usipimeeeee.

Nyoote mnakaribishwa

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad