Mkazi wa Jiji la Dar akipita pembeni mwa chemba ya maji machafu ambayo inaonekana kujaa mpaka kufikia kutoa maji hayo nje.hii sio hapa tu bali ni maeneo mengi sana ya kati taki ya jiji yako namna hii.sasa sijui tatizo ni nini??
kaka, safi sana
ReplyDeletemuefeso