
hapa kama huna tizi basi hufiki hapo garini na unaweza usipande pia.ila ukiwa fasta kama mdau hapa pichani basi huachwi popote pale.

wakazi wa Kawe wakipita kwa taabu katika mtaa mdogo uliopo huko huko Kawe kutokana na njia nzima kujaa tope mara baada ya kimvua cha kiaina kumalizika ambako kwa kweli kamelifanyia vyema sana Jiji la Dar,maana imefanya hali ya jiji kwa siku ya leo kwenda poa sana.

Mjasilliali anaechoma Mahindi akiendeleza libenege lake katika sehemu iliyokuwa imejaa matope mara baada ya kamvua ka kiana kupishesha jiji Dar siku ya leo.
No comments:
Post a Comment