HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, March 25, 2010

Birthday Part ya Mwanamitindo Jamillah Nyangasa Yafana Sana

Jamillah pamoja na marafiki zake wakiingia ndani ya ukumbu wa Savannah Lounge huku wakikaribishwa na mwanadada Fidel.
Jamillah na Friends zake wakiwa katika pozz
kitu cha shampen kikifanyiwa tizi na mdau Martin pamoja na Jamillah mwenyewe.
Jamillah akimimina Shampen kwa mmoja wa wadau waliohudhulia hafla hiyo.
keki ikikatwa.
wimbo wa hepi besdei ukiimbwa kwa uhodari wa hali ya juu
nami niko na super Model Fidel
Martin akilisakata Charanga na mrembo
mie na Witness tukiwakilisha konozz
stori za hapa na pale huku vinwyaji vikiteremka tartiiibu.
Wadau wa Facebook nao kama kawa ndani ya nyumba
toka shoto ni mie,King Kif,Jamillah,Fidel,Sam (wa Machozi Band) pamoja na Mdau tukiwakilisha katika Birthday Part ya Jamillah ndani ya Savannah Lounge usiku wa jana.

hii ilikuwa ni usiku wa jana katika hafla fupi ya Birthday ya mwanamitindo Jamillah Nyangasa,iliofanyika katika ukumbi wa Savanah Lounge,jijini Dar na kuhudhuriwa na watu kibao ikiwemo blog yako ya kijanja ya MTAA KWA MTAA.Aidha kulikuwepo na tukio la kushangaza lililoandaliwa na Mwanamitindo Khadija Mwanamboka akishirikiana na Faback Fashion pamoja Michuzi blog

1 comment:

Post Bottom Ad