

Warembo wakiserebuka kwa raha zao.

Warembo wakijinadi wa Washabiki.

Warembo wakiwa wamejipanga mbele ya Mashabiki lukuki waliofika Msasani Beach Club usiku wa kuamkia leo.

Washiriki wa kinyang'anyiro cha kumsaka mrembo wa Utalii Dar es Salaam,wakiwe katika jukwaa moja na waimbaji wa bendi ya Acudo Impact ndani ya Msasani Beach Club usiku wa kuamkia leo.Bendi ya Akudo Impact itatumbuiza katika fainali ya shindano hilo zitakazofanyika tarehe 27-2-2010 katika ukumbi wa Rain bow Social club mbezi beach.Warembo wote 12 wanaendelea na maandalizi na mazoezi katika ukumbi wa rain bow club,huku ushindani ukiwa ni mkubwa na wakiwango cha juu kuliko wakati mwingine wowote.
No comments:
Post a Comment