HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, February 12, 2010

Wasafisha Jiji Mzigoni!!

hawa jamaa ndio wanaofanya shughuli ya kulisafisha jiji kwa kuweza kukusanya taka taka kutoka katika maeneo ya makazi ya watu na ya biashara na kuyapeleka sehemu husika,hapa wanafanya kazi ya kuzipanga taka hizo kwa kuziweka katika mifuko mikubwa tayari kwa kuzisafirisha kwenda mahala husika.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad