HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, February 18, 2010

Athari Za Kutokuwepo Kwa Mifuniko Ya Chemba Za Barabarani

Mkazi wa jijini Dar es Salaam, akitoka kwenye shimo la kupitishia maji machafu baada ya kutumbukia kwa bahati mbaya. Shimo hilo limeachwa wazi kutokana na kuibwa mfuniko wake katika barabara ya Kivukoni, jambo ambalo ni hatari kwa watumiaji wa njia hiyo.picha na Mdau Sufiani anaepatikana HAPA.

1 comment:

  1. mwanawawene hii kali kwa huyo raia wa kawaida hakuna atakayeshtuka hapo tukio hilo lingemkuta raia wa kigeni dakika chake tu lingezibwa ana hiyo ndiyo bongo

    ReplyDelete

Post Bottom Ad