HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 10, 2009

Hepi Besdei Ya Kuzaliwa Mtoto Marc G. Mwamba



Mtoto MARC G. MWAMBA wa Orlando Florida USA ,anafuraha sana kusherehekea Happy Birthday yake ya kuzaliwa leo inayofanyika THE PALMS CLUB,uko Orlando.kwa niaba wa wadau wote wa kijiji chetu hiki cha Mtaa Kwa Mtaa,tunampongeza sana Mtoto Marc kwa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa na tunamuombea kwa mungu amjalie afya njema na uhai mrefu
HAPPY BIRTHDAY MARC

1 comment:

Post Bottom Ad