HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 5, 2009

wanja lipya la Sabato E.Tarimo


Blogu mpya yenye kugusa zaidi maisha na mienendo ya watu. Baadhi ya watu watakuwa wamemsoma Mhandisi na Mwelimishaji ndugu Sabato E. Tarimo katika gazeti la MsemaKweli kwenye makala zake mbalimbali. Sasa amejikita katika ulimwengu wa blogu ili kuwafikia wengi zaidi hasa wale wanaoishi nje ya Tanzania.


Makala alizoandika hadi sasa na zinazotia changamoto ni zile zinazohusu URITHI na MAVAZI kama vile:


URITHI: Mahakama ya kufungulia mirathi
URITHI: Urithi kwa watu wasio na undugu na marehemu...
URITHI: Kumnyima mtu haki ya urithi
URITHI: Umuhimu wa wosia
URITHI: Je, urithi ni haki au ni fadhila?
URITHI: Biblia inasema nini kuhusu watoto wa kambo...
URITHI: Sheria za mirathi
URITHI: Kwanini mzaliwa wa kwanza alipendelewa?
URITHI: Ni wakati gani wa kurithisha au kurithi?
URITHI: Nani anastahili kurithi?
URITHI: Kiini cha makala
Ni vitu gani sisi wanadamu tunavyoweza kurithishan...
URITHI: HAKI NA WAJIBU WAKO
pamoja na nyinginezo.


mtembelee kupitia link hii tanzaniachristianheritage.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad