jamaa mmoja ambae alikuwa na sifa ya kuwa mlevi kupitiliza,siku moja alikutana bingwa mwenzie lakini kwa upande wa uvutaji ile kitu inayokatazwa na serikali (bangi),walizungumza mambo mengi sana mpaka wakafikia kulizana maswali na katika maswali waliyoulizana moja wapo lilikuwa hili:-
Mlevi:Mtu wangu hivi India iko mbali?
mvuta bangi:Sidhani kama iko mbali maana pale ninakofanya kazi tuko na Mhindi mmoja na huwa anakuja kwa baiskeli kila siku!!!,lakini kama vipi ntamuuliza.
Thursday, July 9, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment