
mdau Baraka Chibiriti wa Cesena,Italy (kati) akiwa na mdau Ritha a.k.a RT pamoja na mie tulipokuwa tukimkaribisha bongo jana jioni katika kiota cha Samaki ndani ya Mlimani City.Chibiriti amewasili bongo kwa vekesheni fupi ambapo kila mwaka ni lazima atie maguu hapa bongo.
No comments:
Post a Comment