kusema mungu upenzi wa kweli,huu usafi ni raha sana maana hewa ipo ya kutosha,unafika haraka uendako hata kama ni kule bunju,bei yake ni ize kinyama tofauti na texi.ila kimbembe ukikutana na kina nanihii wakakunanihii basi ujue kupona kwako ni mungu tu ndio anaejua.maana wanashabaha utafikiri wamechanjia vile.
No comments:
Post a Comment