HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 27, 2009

nini kifanyike ili kuweza kuwasaidia ndugu zetu hawa?

kila kona ya jiji la Dar utawakuta ndugu zetu ambao huwa wanakaa pembezoni mwa mabarabara mengi hapa jijini wakijitafutia rizki zao kwa kuomba wapitao katika barabara hizo.ki ukweli hawa watu wanahitaji misaada tena misaada mikubwa sana.sasa kifanyike kitu gani ili hawa watu wapate misaada bila kukaa humu mabarabarani??

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad