"hii ndio tabu kuweka kidebe hadi kwenye bajaj,sasa unaona kimebuma katikati ya barabara??"hivyo ndivyo aonekanavyo akisema mteja wa bajaj hiyo.hii ngoma nimeibamba migomigo muda si mrefu toka sasa.
No comments:
Post a Comment