
mshkaji mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana kwa haraka,leo amefumwa kwenye nyumba ya jamaa mmoja hivi maeneo ya Magomeni Kagera akiwa katika harakati ya kutokamea na tivii na msela huyo,si ndio ghafla akatokea jirani wa msela mwenye tivii na kuanza kumtandika maswali bila majibu na ndipo uamuzi wa kuelekea nae sehemu husika ulichukua mkondo wake bila kipigo wala nini.duuh!! hawa jamaa ni wataastaarabu maana hawajampatia kipigoa hata kidogo,angekatiza mitaa flan flan hivi huyu huko sehemu husika lingefikishwa jina lake tu na si yeye.
No comments:
Post a Comment