
Tunapenda kuwataharifu ya kwamba MK Music Galaxy imerudi tena ndani ya anga za Muziki baada ya kupata Servers mpya i.e. HP ProLiant BL680c G5 Server ambazo tumezifunga na zimesha anza kufanya kazi mara moja test http://mkmusicgalaxy.com/uone mawe makali yakirushwa kwa speed of light...Shukrani ziende kwa HP pamoja na michango yote tuliyo ipata toka kwa wapenzi wa MK Music Galaxy.
Kwa sasa tupo katika harakati za ku-solve issue ya www. maana ukiweka kama http://www.mkmusicgalaxy.com/ inagoma, ila ukiweka kama http://mkmusicgalaxy.com/ inakubali bila tatizo, haya yote ni mambo ya scripts ambapo tuta solve ndani ya muda mchache.
Daima tupo Pamoja.
MK Music Galaxy - Exploring The Tanzanian Music.
MK Music Galaxy - Exploring The Tanzanian Music.

No comments:
Post a Comment