
tukiwa na furaha kubwa pamoja na bashasha za kutosha kabisa mara tulipotembelewa na mwanakijiji wetu wa kijiji hiki pamoja na kijiji cha jirani,
FotoBaraza.Net toka kule kwa bibi (Uingereza),anayefahamika kwa jila la Mama Malaika aliopo katikati yetu.kulia ni mwanakijiji kiongozi wa kijiji cha jirani cha
FotoBaraza.Net anayefahamika kwa jina la
Babukadja Sankofa.kiukweli ukweli tulifurahi sana kutembelewa na Mama huyu maana tulikuwa tukiwasiliana kupitia mtandao tu,ila leo hii tumekutana laivu laivu.
Hii safi sana! Fotobaraza idumu!
ReplyDeleteLeila