
kazi zingine ni za hatari kweli kweli,lakini kutokana na hali ya maisha ilivyo ngumu inasababisha kazi hata kama ni ya hatari namna gani.hawa ni jamaa wa kuweka mabango mijengoni na hapa walikuwa wakiweka bango katika jengo jipya lililopo pale mnazi mmoja jirani kabisa na jengo la ushirika.
No comments:
Post a Comment