HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 12, 2009

kamanda kombe unaliona lingine hili??

hii nimegongana nayo leo katika barabara ya viwandani na mandela rodi hili, gari ni moja ya magari yanayobeba takataka hapa mjini,na hapa niliposimama kuna askari wa usalama barabarani na niliona ajabu sana kuona askari hao wakiliruhusu gali hili kupita mbele yao.sasa sijui kuna kitu gani hapa?

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad