Ilala Zone kama kawa hili ndilo chimbo kongwe la wana Ilala lililopo katika mtaa wa Arusha,wadau wengi sana walishawahi kuweka kambi katika chimbo hili na wengine wanaendelea kama muwaonavyo hapo pichani.
No comments:
Post a Comment