HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 27, 2009

BREKING NYUZZZZZZZZZZZ

marehemu Sheikh Suleiman Gorogosi enzi za uhai wake


HABARI ZILIZOTUFIKIA MUDA HUU NA ZA KUTHIBITIKA KABISA ZINASEMA KWAMBA NAIBU MUFT WA TANZANIA SHEIKH SULEIMANI GOROGOSI AMEFARIKI DUNIA KWA AJARI YA GARI.TAARIFA ZAIDI JUU YA KUFARIKI KWA SHEIKH GOROGOSI ZITAWAJIA BAADA YA MUDA KIDOGO.




UPDATES ZA MSIBA WA SHEIKH GOROGOSI




Sheikh Suleiman Gorogosi amefariki dunia katika ajali ya gari akiwa safarini akitokea Mtwara kuelekea Lindi.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana toka vyanzo vyetu,zinaripoti kuwa Marehemu Gorogosi aliondoka Dar leo kwa ndege kwa safari ya kwenda Lindi kupitia Mtwara, alifika salama Mtwara na ndege na ndipo alipoanza safari ya kwenda Lindi kwa gari ambapo inasemekana alipokuwa safarini kwa njia ya barabara ghafla tairi la mbele la gari alilokuwa akisafiria lilipasuka na gari kupinduka mara kadhaa na hatimae mauti kumkuta.Tutaendelea kuhabarisha kadri mambo yatakavyokuwa yanaendelea
.

1 comment:

  1. seat belt is very important, it saves lives, please make sure you fasten your seat belt before the car leave

    ReplyDelete

Post Bottom Ad