HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 12, 2009

uwanja wa sokoine mbeya

bango kuu la uwanja wa mpira wa Sokoine Mbeya
eneo la kusakatika kabumbu katika uwanja wa Sokoine
geti kuu la uwanja wa Sokoinejukwaa la kukaa wampenzi wa soka na kabumbu ndani ya uwanja wa Sokoine.

2 comments:

  1. Jamaaaa hiyo stadium vipi mbona iko vile vile miaka na miaka hivi hakuna hela utengenezwe??? Inasikitisha sana maana uwanja ni mzuri sana huo endapo utaangaliwa.

    ReplyDelete
  2. kwa kweli hili la uwanja ni tatizo sana maana karibia viwanja vyoote vya mikoani viko namna hiyo,na hapo kwa sababu tunaona kutokea mbali lakini laiti kama tungelisogelea jirani na kuona hayo majani yalivyo nafikili tungeweza kuzimia kabisa.

    tunashukuru sana kwa picha hizi Othman

    ReplyDelete

Post Bottom Ad