
hawa jamaa niliwafuma katika mto ilolo uliopo jirani kabisa na hotel ya LiftValey,wakiyalazimisha maji kwenda wanavyotaka wao na si yatakavyo yenyewe kwenda,hawa watu walilazimika kufanya hivi ili maji hayo yaweze kuelekea katika bustani zao za mboga mboga zilizopo pembezoni mwa mto huo.
No comments:
Post a Comment