HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, May 16, 2009

kitangoma latimba mitaani

Jarida lako maridhawa la kitangoma liko mitaani sasa,likiwa limesheheni mambo lukuki yahusuyo burudani,urembo pamoja na historia mbalimbali za wasanii wa hapa nyumbani bila kusahau mambo ya ubunifu na mengineyo kadha wa kadha,linauzwa buku 2000/= tu.kwa mahitaji bofya namba zifuatazo 0714 949749 au 0755560572, 0715 318132

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad