hizi chenji uzionazo hapa sio kama hazina dili,hizi ziko sokoni hapa na hapo ukiwa na buku ya noti unapata mia tisa ya chenji,na hivyo ndivyo jamaa wanapopata faida na kusongesha maisha mbele kama kawa.bongo raha jamani!!
No comments:
Post a Comment