usafiri wa Bajaj unaotesa sana hapa jijini na mikoani pia,ukiwa umepaki katika eneo la Mwanjelwa jijini Mbeya (zamani soko la Mwanjelwa ambalo liliwaka moto) zikisubiria abiria watakao kufikishwa kwa haraka waendako.
No comments:
Post a Comment