HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, April 17, 2009

ziara ya rais kikwete nchini saudi arabia

Rais Kikwete akiwa mkutanoni
Mfalme wa Saudi Arabia Abdullah bin Abdulaziz Al Saud akiwa katika picha ya pamoja na Rais Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kumtunuku nishani ya dhahabu ya kama ishara ya urafiki kati ya Tanzania na Saudi Arabia

Rais Jakaya Kikwete akitembezwa sehemu mbalimbali katika ziara yake rasmi ya siku tatu huko Saudi Arabia ambayo imehitimishwa leo.

Mfame Abdullah bin Aziz Al-Amer wa Saudi Arabia akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Rais Jakaya Kikwete baada ya Dhifa ya kitaifa aliyomuandalia katika makazi yake ya kifalme huko Saudi Arabia.


msafara wa Rais Kikwete huko Saudi Arabia

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad