HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, April 1, 2009

wanajeshi waendao kulinda amani darfur,waagwa na dr.Salim

Msuluhishi wa mgogoro wa darfur na Katibu mkuu mstaafu wa AU na Dk. Salim Ahmed Salim akiagana na mkuu wa kikosi cha JWTZ kinachoelekea Darfur nchini Sudan Luteni Ally Katimbe katika kambi ya Jeshi hilo iliyoko Msata ,Pwani baada ya kutoa mhadhara kwa kikosi hicho kuhusu hali ya jimbo la Darfur.
Kundi la wanajeshi wanawake wa JWTZ watakaoshiriki katika ulinzi wa amani katika jimbo la Darfur nchini Sudan wanaotarajia kuondoka nchini mwezi huu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad