
Mdau Magere akivinjari katika mitaa yake ya kujidai huko Baden-Baden nchini Ujerumani,ambapo juzi kati kulikuwa na maadhimisho ya miaka 60 ya NATO mbapo viongozi wa mataifa 28 yanayounda Nato walikuwepo akiwemo Rais Marekani,Barrack Obama.ambapo mitaa mingi ya jiji hilo ilifungwa na kusababisha wakazi wa maeneo ya jirani na hapo kutotembea na magari yao.chini ni mtaa wa Rhein ambao ndio mtaa anaokaa mdau huyu.
No comments:
Post a Comment