
maisha yana namna nyingi ya kuyatafuta,hapa ni jamaa mmoja ambaye ni mvuvi akiwa katika katika moja ya shughuli zake za kujitafutia riziki katika bahari ya hindi nilipomkuta siku za hivi karibini nikipokuwa katika maeneo flani flani hivi mitaa ya kati.
No comments:
Post a Comment