NAPENDA KUWATAKIENI SIKUKUU NJEMA YA PASAKA WATEMBELEAJI WOOTE WA KIJIJI HIKI,NAOMBA TUISHEREHEKEE KWA AMANI NA PIA KWA UTULIVU ULIOTUKUKA,NA PIA NAWAOMBEA KWA MUUMBA AWAJAALIE AFYA NJEMA NA KWA WALIO MAHOSPITAL AWAWEZESHE WAWEZE KUENDELEA VIZURI NA PIA AWAJAALIE WAPONE KABISA.NAWASHUKURU SANA WADAU WANGU WAPENDWA NA NAAMINI KILA LITU KITAKWENDA SAWA KATIKA SIKUKUU HII YA PASAKA.
PAMOJAH.
-MZEE WA MTAANI
Na wewe kwa kuchapia! eti "nafikiri kila litu" sasa hii cjui ni lugha ya nchi gani?? labda ya mtaa huu!!!!!!!! kazi njema baba zidi kuteletea yanayojili mitaani kila cku usichoke kandambili zikiisha nione... hahahaa nakutania ucje ukatia timu home kwangu bureee!!!!
ReplyDeletePamojah,
Majoy.
Umesomeka Mtu wangu,usikonge wala nini maana viatu nilivyonavyo ni masai taipu,Yaani ni mabaki ya matairi ta gari kwa haviishi leo wala kesho.
ReplyDeletehaha ahaha ahahah ahahah ahaha
Pamojah libenekeni