HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 23, 2009

deci,deci,deci.....

Umati wa wanachama wa Kampuni ya Kupanda na Kuvuna ya DECI Tanzania Ltd, ukiwa nje ya ofisi hizo eneo la Mabibo, Dar es Salaam kusubiri taratibu za kurudishiwa pesa zao.katika tukio hilo kuna Watu kadhaa wanaosadikiwa kuwa ni wanachama wa Kampuni ya (DECI) wamezimia na wengine saba kutumbukia kwenye shimo la maji machafu katika ofisi za taasisi hiyo, Mabibo, Dar es Salaam kutokana na vurugu wakati wa kujiandikisha kwa ajili ya kurudishiwa mikwanja yao ya mbegu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad