
Rais Jakaya Kikwete na mwenyeji wake Rais wa visiwa vya Comoro Mh. Ahmed SAmbi wakipokea heshima toka kwa gadi iliyoandaliwa kwa ujio wake kisiwani hapo katika siku ya mwisho ya ziara yake visiwani humo.

Raisi Jakaya Kikwete na Rais wa visiwa vya Comoro Mh. Ahmed Sambi wakikagua gwaride rasmi katika kisiwa cha Moheli kabla ya kumaliza ziara yake ya siku tatu nchini humo

Rais Jakaya Kikwete na mwenyeji wake wakiangalia ngoma za utamaduni baada ya kutua uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bandar Salam kisiwa cha Moheli.Rais Kikwete keshawasili nchini toka huko visiwa vya Comorro alikokwenda kwa mwaliko wa Rais wa visiwa hivyo Mh. Ahmed Sambi
No comments:
Post a Comment