Kamanda wa Trafiki Dar es salaam,Afande Mohamed Mpinga (shoto) na Naibu Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai Afande Peter Kivuyo (kati) na Mbunge wa Bariadi Mashariki Mh. Andrew Chenge wakielekea sehemu iliyotokea ajali ambapo gari alilokuwa akiendesha Mh. Chenge liligongana na Bajaji jana alfajiri na kusababisha vifo vya abiria wawili wa Bajaji hiyo.
Gari alilokuwa akiliendesha Mh.Andrew Chenge,likiwa kituo cha Polisi Cha Osterbay.
Saturday, March 28, 2009

Mbilinge Mbilinge La Ajari Ya Mh.Chenge
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment