barabara ya Kilwa rodi a.k.a Mbagala rodi inavyoonekana leo hii,siku hizi kutoka Mbagala hadi mjini ni dakika kadhaa tu tofwauti na siku za awali ambapo ilikuwa ukitoka Mbagala saa 12 asubuhi basi utafika mjini saa 3 asubuhi.hii hali inapendeza kwa kweli.
picha na Mroki wa Mroki
No comments:
Post a Comment