wananchi wa mji wa Bagamoyo wakiangalia jinsi moto ulivyoteketeza hotel ya Paradise Resort leo huko Bagamoyo.
haya ni mabaki ya hotel ya Oceanic Bay iliyoteketea kwa pamoja na hotel ya Paradise huko Bagamoyo mchana wa leo.
baadhi ya wapangaji waliokuwepo katika hotel hizo wakijiorodhesha majina yao mbele ya afisa wa jeshi la Polisi.
mabaki ya hotel ya Paradise Resort
kila kitu kimemalizika katika hoteli hizi,yaani inasikitisha kwelikweli
gari la zima moto la faya likiwasili eneo la tukiao huku kila kitu kikiwa kimetekeketea kwa moto,ambapo chanzo chake inasemekana ni hitilafu ya umeme.
askari wa kikosi cha zimamoto cha Faya,akimalizia kuzima (sijui niite majivu tu,maana kaja wakati moto ushazimika) leo huko Bagamoyo
moja ya gari lililonusurika katika janga hilo la moto lililozikumba hotel ya Paradise Resort pamoja na Oceanic Bay huko Bagamoyo leo.kwa picha zaidi za tukio hili nenda katika wanja la mkuu Issa Michuzi kwa kubofya hapa.
Monday, March 23, 2009

Huu Ndio Muonekano Wa Sasa Wa Hotel Mbili Zilizoteketea Kwa Moto Huko Bagamoyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment