
hii ni ajali ya basi la Tonda iliyotokea siku za hivi karibuni pale kinegembasi kilomita 20 kabla hujafika makambako,basi basi hili lilikua likitokea jijini Dar es salaam kwenda jijini Mbeya,watu watatu walipoteza maisha katka ajari hii ambapo mmoja afariki papo hapo na wengine wawili walifia hospital.jamani hivi ni kitu gani kifanyike ili kuweza kuepusha ajari hizi ambazo zinazidi kupoteza maisha yandugu zetu?
picha na
Mjengwa Blog
No comments:
Post a Comment