Mwanadada mrembo na mwanamuziki kutoka marekani ndie atakae pamba show ya Fiesta Jirambee 2008,ndani ya viwanja Lidaz klabu Dar es salaam siku ya jumamosi hii.mwana dada huyu hivi sasa anatamba sana na kibao chake kiitwacho run the show.
No comments:
Post a Comment