Mwanamuziki tona nchini Marekani,Kat Deluna akiongea na waandishi leo asubuhi katika viwanja vya lidaz club.kushoto ni bosi wa Clouds 88.4fm Ruge Mutahaba (kulia)ni bosi wa masoko wakampuni ya simu za mkononi ya Zain,Kelvin Twissa wakimsikiliza kwa makini Mwanadada Kat Deluna.chini ni waandishi wa habari wakifuatilia mahojiano hayo.
No comments:
Post a Comment