HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, November 8, 2008

Kat Delun Kupagawisha Mashabiki Leo Viwanja Vya Lidaz

mwanamuziki kutoka nchini marekani anaefahamika kwa jina la Kat Deluna,leo atapanda katika jukwaa la FIESTA JIRAMBEE pale kwenye viwanja vya lidaz clab kuwapagawisha wadau wa FIESTA 2008.atasindikizwa na wasanii 22 wa hapa hapa bongo ambao ni:

 NGWAIR, QJAY, MATONYA,MWASITTI,PROF J,MARLOW,NAKO 2 NAKO,MWANA-FA,PROF JAY,JOH MAKINI,WANAUME TMK,WANAUME HALISI,DULLY SYKES,JAY MOE,THT DANCERS,ODAMA BAND,MAUNDA ZORRO,DOGO MFAUME,NAKAAYA,BUSHOKE
NA MR BLUE

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad