Wakazi wa zenj wakifuatilia kwa makini tamasha la fiesta jirambe 2008,ambalo limemalizikia huko visiwani Zanzibar jumamosi ya wiki hii.
Wasanii kutoka nyumba ya vipaji ya THT wakiwaburudisha wakazi wa zenj waliojitokeza kwa wingi jana usiku kwenye tamasha la fiesta jirambe ndani ya uwanja wa Mao Tse-Tung uliopo michenzaniBerry Black akifanya vitu vyake
Msanii kutoka Mombasa -Kenya Nyota Ndogo akiwa na densa wake Zawadi wakitumbuiza kwenye tamasha fiesta jirambe ndani ya uwanja wa Mao Tse-Tung uliopo Michenzani visiwani Zanzibar.picha kutoka michuzijr.blogspot.com
No comments:
Post a Comment