
wakiwa mawetanda barabara nzima
.jpg)
ndinga lenye maji ya upupu likiwa limesimama katikati ya barabara
hii ni asubuhi ya leo katika barabara ya Ally Hassan Mwinyi rodi,wakati walipoandamana baadhi ya wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Africa Mashariki wakitaka walipwe mafao yao.
.jpg)
kikosi cha kutuliza ghasia cha FFU,kikijarubu huwatawanya wastaafu hao waliovamia tena kituo cha Polisi cha sentro ambapo ndipo ilipo ofisi Kamanda wa Polisi Kanda Maalum,mara baada ya kusambaratishwa kule Salenda.huku kwambaali kule gari la maji yenye upupu likendelea na shughuli yake.
No comments:
Post a Comment