HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 22, 2008

Wametoka Mbali Hawa

wametoka mbali hawa, hapo ni 1988 wakisafiri kwenda SongoSongo,Kushoto ni Mhe Jakaya M. Kikwete- Rais wetu sasa,hapa alivyokuwa naibu waziri Maji Nishati na Madini na Prof. Mark Mwandosya, akiwa Katibu Mkuu wa wizara ya Maji Nishati na Madini.ambapo sasa Prof. Mark Mwandosya ni Waziri wa Maji na Umwagiliaji.picha kwa hisani ya Emmanuel M.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad