
kujimix siku moja moja sio mbaya,au vipi wadau.hapa niko na kaka Sadiki wa kijiji cha jamii
FotoBaraza. tulipokutana jana katika kikao cha kuchangia mfuko wa Yatima wetu Toka kijiji hicho unaopatikana
hapa na pia kama unataka kujiunga na kundi hilo waweza bofya
hapa na moja kwa moja utaweza kuwa mdau wa kijiji hicho.
hizo pepsi ni uzugaji au kweli??? im sure maji machafu ndio yalikuwa yanatawala. heheee
ReplyDelete