bosi wa masoko wa kampuni ya bia (tbl) david minja akionesha lebo mpya ya kilaji cha safari lager sasa hivi katika ukumbi wa hellenic dar
meneja wa redds george kavishe (shoto) akiwa na mmoja wa walaji wa kilaji cha safari lager kwenye uzinduzi a lebo mpya ya kilaji hicho bora barani afrika




walaji wa kilaji cha safari lager wakifurahia lebo mpya leo

ngoma na safari ni dugu moja

ngoma na safari ni dugu moja.picha kutoka blog ya jamii

No comments:
Post a Comment