Yaani kwa jinsi ulivyopigwa sop sop hata huwezi amini kuwa hiyo ndiyo ile ndinga ambayo miaka ya nyuma tulikuwa tukiita mgongo wa chura a.k.a Bito,wageni wa hizi gari msianze kushangaa kuona mbona injini haipo hapo mbele na badala yake kuna bonge la mziki,injini za gari hizi ziko nyuma.na hizi gari huwaga hazina rejeta lakini zinakula mzigo kama kawa babakee.
No comments:
Post a Comment