HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 13, 2008

Makamuzi Ya Wana Wa Kutwanga Na Kupepeta

Kunzia kulia kuelekea shoto ni Saleh Kupaza, Janet Isinika, Kalala Junior na Lwiza Mbutu wakiimba katika onyesho lililofanyika kwenye ukumbi wa Tcc Sigara Chang`ombe jijini jana. 
safu ya ushambuliaji ya wana wa kutwanga na kupepeta kwa upande wa wanaume wakiwajibika ipasavyo katika ukumbi wa Tcc Chang'ombe jumapili ya jana.
hii ni safu ya ushambuliaji kwa upande wa kina mama,nao wakiwajibika kama kawa.
wanazi wa kutwanga na kupepeta nao hawakutaka kubaki nyuma katika sakata zima la kuburudisha miili yao pale Tcc club iliyopo Chang'mbe mkoani Temeke ambapo kila jumapili kama ya jana twanga hupiga sebene zao hapo.picha hizi ni kwa hisani ya Kaka John Bukuku anaeliendeleza libeneke hili la burudani kupitia wanja lake hili http://fullshangwe.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad