
Lori aina ya Scania lenye nambari za usajiri T 228 AAT likionekana kuendelea kuteketea kwa moto pembeni mwa kituo cha mafuta cha MOIL kilichopo jijini Mwanza,ambapo inasemekana mtu mmoja alipoteza maisha kwa mshtuko wa kuuona moto huo na wengine wawili kujeruhiwa na moto huo ambao chanzo chake hakujajulikana mpaka sasa.tutaendelea kujuzana kinachoendelea hapo baadae.
No comments:
Post a Comment