bosi wa masoko wa Vodacom Tanzania,Ephraim Mafuru akielezea kuhusu kuanzishwa kwa huduma ya blackberry iliyozinduliwa na kampuni hiyo usiku wa kuamkia leo hoteli ya Moevenpick, Dar
Naibu waziri wa mambo ya ndani Balozi Khamis Kagasheki akizungumza katika uzinduzi wa simu za mkononi za Black Berry zitakazouzwa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom uzinduzi ulifanyika katika Hotel ya Movenpick jijini jana 
wadau wa Vodacom wakionyesha simu aina ya blackberry walizozipata
toka kampuni hiyo
bosi wa masoko wa Vodacom,Ephraim Mafuru akiwaeleza bosi wa Star tv Samuel Nyalla na bosi wa masoko wa Tbl David Minja kuhusu matumizi ya blackberry.
bosi wa masoko wa Vodacom,Ephraim Mafuru akiwaeleza bosi wa Star tv Samuel Nyalla na bosi wa masoko wa Tbl David Minja kuhusu matumizi ya blackberry.

No comments:
Post a Comment